Uncategories
MBWANA SAMATTA NDOTO ZIMETIMIA
MBWANA SAMATTA NDOTO ZIMETIMIA
Mbwana samatta amesema ndoto zake zimetimia kauli hii alitoa hivi karibuni baada kusajiliwa katika Timu ya Aston villa inayo cheza ligi kuu ya uingereza. Mbwana alitoa kauli hio kwenye akaunti yake instagram. Na anawaomba watanzania kumuombea mema ili afanye vizuri katika klabu yake mpya ya Aston villa
0 comments: