Wednesday, May 13, 2020

Je unataka kuyajua haya

Karibu ndugu msomaji wa blog hi Leo ningependa kueleza juu ya mambo yafuatayo ambayo watu Wana paswa kuyajua.    ( 1) kama unataka kuwaona viumbe vya ajabu basi tafuta tongotongo za paka mweusi  jipake usoni hakika utaona kila kisicho onekana katika hii dunia (2) kama unataka kumkamata chuma ulete chukua kipande Cha mkaa kiweke ndani ya kikapu chako Kisha tafuta na tunda la mzaituni vyote hivyo uviweke kwenye kitambaa cheusi hakika akija hatoweza ondoka

0 comments: