Klabu ya Simba fc imekana kujihusisha na uuzaji wa baroka baada ya watu kuwa tuhumu timu ya Simba kujihusisha na kuuza baroka. Uongozi wa Simba ume kataa madai yao kupitia ukurasa wao wa Instagram.

napia viongozi wa Simba wameanza kuchukua hatua Kali dhidi ya wale wanao tumia nembo ya Simba sport club kinyume na sherian na pia uongozi wa Simba sport club umeahidi kuchukua hatuakali dhidi ya wale wanao tumia nembo ya Simba sport club kinyume na sheria
0 comments: