MSANII BABA LEVO AMCHARUKIA DAIMOND PLATNUM
Msanii na maarufu kama baba levo na kwa sasa ni diwani wa Kata Ya mwanga kaskazini amefunguka kukerwa baadhi ya vitu vilivyo jitokeza mkoani kigoma katika show Ya kuazimisha miaka kumi ya DAIMOND. Baba levo Alisema Daimond alifanya makosa mawili makubwa( 1) baadhi ya wasanii hawakupanda kwenye jukwaa hali hii ilipelekea watu kufanya Fujo jukwaani. Na pili Daimond alijenga msikiti na madrasa pekee aliangalia upende wa uislamu pekee, ili bidi ajenge na kanisa.kuonesha usawa
0 comments: