
. Fahamu njia rahisi ya kumuona mchawi live kama unataka kumuona mchawi inabidi uchume majani ya kisamvu Kisha ukitwange mpaka yatoke maji yale maji yake una nawa usoni wakati wa usiku huku ukinuia baad ya kufanya hivyo basi kama utaenda sehemu ya njia panda hakika utawaona wachawi au kama watakuja nyumbani kwako utawaona. Onyo utakapo waona usipige kelele na usitumie dawa hii kama auna kinga dhidi ya nguvu zao
0 comments: