
Timu ya Yanga imeahidi ushindi mashabiki wake dhidi ya SINGINDA United, ni maneno ya afisa uamasishaji wa Yanga Antinio nugaz amesema Timu yetu Leo itapambana na kuhakikisha inapata matokeo chanya katika mechi ya Leo,Afisa huyo wa yanga anawaomba mashabiki wa Yanga wajitokeze kwa wingi kui sapoti timu yao, Akamaliza kwa kusema Daima Yanga mbele nyuma mwiko
0 comments: