Karibu ndugu msomaji wa blog hi Leo ningependa kueleza juu ya mambo yafuatayo ambayo watu Wana paswa kuyajua. ( 1) kama unataka kuwaona viumbe vya ajabu basi tafuta tongotongo za paka mweusi jipake usoni hakika utaona kila kisicho onekana katika hii dunia (2) kama unataka kumkamata chuma ulete chukua kipande Cha mkaa kiweke ndani ya kikapu chako Kisha tafuta na tunda la mzaituni vyote hivyo uviweke kwenye kitambaa cheusi hakika akija hatoweza ondoka
Wednesday, May 13, 2020
Tuesday, May 5, 2020
Klabu ya Simba fc imekana kujihusisha na uuzaji wa baroka baada ya watu kuwa tuhumu timu ya Simba kujihusisha na kuuza baroka. Uongozi wa Simba ume kataa madai yao kupitia ukurasa wao wa Instagram.
. Fahamu njia rahisi ya kumuona mchawi live kama unataka kumuona mchawi inabidi uchume majani ya kisamvu Kisha ukitwange mpaka yatoke maji yale maji yake una nawa usoni wakati wa usiku huku ukinuia baad ya kufanya hivyo basi kama utaenda sehemu ya njia panda hakika utawaona wachawi au kama watakuja nyumbani kwako utawaona. Onyo utakapo waona usipige kelele na usitumie dawa hii kama auna kinga dhidi ya nguvu zao